Jamila Kizondo avuma Tik Tok kwa kukienzi Kiswahili

  • | BBC Swahili
    785 views
    Wakati dunia inapoadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani, Jamila Kizondo, mzaliwa wa Mombasa anayeishi Atlanta Georgia, Marekani, anakiendeleza Kiswahili kupitia video zake katika mitandao ya kijamii. Mwandishi wa BBC @roncliffeodit odit amefanya mazungumzo na @jkizondo_swahilibites