Jane Kihara aachiliwa kwa dhamana ya KSHS 50,000

  • | Citizen TV
    1,165 views

    Mbunge wa Naivasha Jane Kihara ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu hamsini akisubiri uamuzi wa kesi ya uchochezi. Anadaiwa kutoa matamshi yenye utata mjini Naivasha baada ya maandamano ya Saba saba.