Japheth Koome amejiuzulu kutoka wadhifa wa Inspekta Jenerali

  • | Citizen TV
    7,387 views

    Inspekta Jenerali wa Polisi Japhet Koome amejiuzulu. Aliyekuwa naibu wake Douglas Kanja atashikilia wadhifa huo kwa muda kwenye mabadiliko ya idara ya Polisi yaliyowasilishwa na ofisi ya rais