Jarida la wikiendi wiki hii tunaangazia Uimarishaji na ustawishaji wa bandari Afrika Mashariki

  • | VOA Swahili
    376 views
    Uchukuzi wa baharini unaendesha asilimia kubwa ya biashara duniani. Mataifa ya Afrika Mashariki yanatekeleza sera mbali mbali kuhakikisha wanafaidika na biashara kwa kuimarisha bandari zao na kuboresha uchumi kutokana na mapato ya bandari hizo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.