Skip to main content
Skip to main content

Jarida la 'Women to Watch' lazinduliwa

  • | NTV Video
    381 views
    Duration: 3:32
    Kutoka kituo cha Embe Creative kilichopo Lavington, shirika la Kayana, linaloongozwa na Patricia Okelo na Ruth Lubembe, limezindua rasmi toleo la mwaka 2026 la jarida la Women to Watch. Jarida hili huadhimisha na kutambua mchango wa wanawake wanaoleta mageuzi katika sekta mbalimbali, hususan tasnia ya ubunifu nchini Kenya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya