Je Arsenal ni fungu la kukosa?

  • | BBC Swahili
    1,045 views
    Juhudi za klabu ya Arsenal ya Uingereza kulisaka kombe la kwanza la michuano ya klabu bingwa bara ulaya zimedidimizwa kwa mara nyingine tena baada ya kuadhibiwa na PSG wa Ufaransa mabao 2-1. Ahmed Bahajj ametuandalia taarifa hii. #bbcswahili #psgars #psg Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw