Je, Arsenal watabadilisha matokeo waingie fainali? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,962 views
    Klabu ya PSG ya Ufaransa na Arsenal kutoka Uingereza wataingia uwanjani kutafuta tiketi ya kufuzu katika fainali ya michuano ya klabu bingwa Ulaya. Hii ni mechi ya nusu fainali ya mkondo wa pili. PSG wanaongoza mtanange huu baada ya ushindi wa bao moja kwa nunge katika mechi ya kwanza.