Skip to main content
Skip to main content

Je, baadhi ya wanawake wanaweza kuona rangi ambazo wengine hawawezi kuziona?

  • | BBC Swahili
    2,332 views
    Duration: 2:03
    Wanasayansi wanaamini hali inayojulikana kama tetrachromasia huwapa baadhi ya wanawake uwezo wa kutambua vivuli vya rangi kwa kiwango cha kipekee kutokana na kuwa na aina ya nne ya seli za koni machoni. Ingawa uwezo huo bado unachunguzwa, huenda ukawa sababu inayowafanya kuona tofauti za rangi ambazo wengi wetu hatuzioni Mwandishi wa BBC Phillys Mwatee na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #wanawake #rangi #foryoupageシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw