Je, Boniface Mwangi yuko katika hali gani baada ya kuachiwa Tanzania

  • | BBC Swahili
    21,551 views
    Mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi ameachiliwa huru na Tanzania, na kusafirishwa kwa barabara hadi eneo la Pwani ya Kenya. Hata hivyo, hakuna taarifa zozote kuhusu mwanaharakati mwenzake wa Uganda Agather Atuhaire. Je, mamlaka za mataifa haya matatu zinasema nini, na je, Boniface yuko katika hali gani? Kwa haya na mengine mengi jiunge na @scolar_kisanga saa tatu kamili kwenye BBC Dira ya Dunia TV mubashara kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC News Swahili. #bbcswahili #kenya #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw