Skip to main content
Skip to main content

Je iPhone 18 itakata mzizi wa fitina wa picha za uongo za AI?

  • | BBC Swahili
    26,462 views
    Duration: 2:09
    Unajua iPhone 18 inakuja kukata mzizi wa fitina wa picha za uongo za AI?. Apple wameweka teknolojia mpya kwenye iPhone 18 Pro na Pro Max itakayohifadhi picha halisi yenye utambulisho maalum usiofutika. Tofauti na Google inayoweka alama kwenye picha za AI, Apple inakupa thibitisho la picha halisi. Je hii ndio mwisho wa kutapeliwa kwa picha za uongo? @sammyawami anaelezea #bbcswahili #AI #teknolojia #iphone18 #akilimnemba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw