Je Iran ina uwezo wa kulipiza kisasi dhidi ya Marekani?

  • | BBC Swahili
    6,615 views
    Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Iran amewaambia wanahabari kwamba Iran haina budi kujilinda na kuapa kuiadhibu Marekani kwa kile imekitaja kama hatua ya uchokozi. Marekani nayo imesisitiza kwamba ikiwa Iran itajibu mashambulizi yake ya Jumapili, basi Iran itakiona cha mtema kuni. Je, ikiwa Iran itatimiza vitisho vyake dhidi ya Marekani, hali ya usalama mashariki ya kati itakuwa vipi? HamidaAbubakar @midababirye anachambua hili kwa kina kwenye Dira ya Dunia TV katika ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. - - #bbcswahili #iran #israel #diratv #marekani #vitisho Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw