Je, Kanisa Katoliki linaingilia siasa za Tanzania?

  • | BBC Swahili
    26,210 views
    Kwa miaka mingi, Padri Charles Kitima na kanisa Katoliki amekuwa mstari wa mbele kukemea uvunjifu wa sheria na ukiukwaji wa maadili nchini Tanzania katika matukio ya kisiasa na kijamii. Tukio la kushambuliwa kwake hivi karibuni limeibua huzuni na ukosoaji na pia kuhusianishwa na ukosoaji unaofanywa na Kitima na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Baadhi wanaona kuwa huenda ni njia ya kuwaziba mdomo. Je shambulio hilo litaiziba mdomo kanisa? @sammyawami anaelezea 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #katoliki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw