Skip to main content
Skip to main content

Je kilimo cha jangwani kinawezekana?

  • | BBC Swahili
    6,365 views
    Duration: 2:22
    Teknolojia ya kisasa inaweza kufanya iwezekane kuifanya jangwa liwe la kijani Lakini je, tunapaswa kufanya hivyo? Mwandishi wa BBC @frankmavura anaangazia taarifa hii kwa kina - - #bbcswahili #jangwa #kilimo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw