- 20,315 viewsDuration: 2:54Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa. Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu: Nani ataamua kuwepo kwa dharura? Kiasi cha mkopo kitakuwa kipi? Na je, uhuru wa Benki Kuu utaendelea kulindwa ikiwa itakuwa pia mkopeshaji wa Serikali? Mwandishi wa BBC @lasteck2024 na taarifa hii 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ゚viral #foryou #uchumi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw