Skip to main content
Skip to main content

Je, kuvaa viatu ndani ya nyumba ni hatari kiafya?

  • | BBC Swahili
    26,322 views
    Duration: 2:02
    Je, unavaa viatu ukiingia ndani ya nyumba au unavua mlangoni? Ingawa kwa baadhi ya watu ni suala la utamaduni na mazoea, wataalamu wa afya wanasema tabia hiyo inaweza kuwa na athari kwa usafi na afya ya familia. Kiuhalisia tu kila siku viatu hupita kwenye barabara, vyoo vya umma, bustani na sehemu nyingine zenye uchafu. Mwandishi wa BBC Nasteha Mohamed @nasteha__adam na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #Afya #utamaduni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw