Je kwanini Tundu Lissu ameruhusiwa kufika Mahakani May 19

  • | BBC Swahili
    1,986 views
    Kufuatia kesi ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ilisikilizwa tarehe 6 Mei 2025 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, ambapo Lissu anakabiliwa na mashitaka ya uchochezi na uhaini. Mwandishi wetu Sammy Awami alihudhuria mahakamani hapo na kuzungumza na kiongozi wa jopo la wanasheria wa upande wa utetezi Dr Rugemeleza Nshala, ambapo kwanza alianza kwa kumuuliza ikiwa Magereza walitoa sababu yoyote ya kutomleta Lissu mahakamani hapo….. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw