Je makubaliano ya Israel na Iran yatadumu?

  • | BBC Swahili
    9,294 views
    Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran, na kutaka mataifa hayo mawili kukubaliana na kusitisha mapigano jambo ambalo mataifa yote yanaonekana kukiuka. Kabla ya kuanza kwa juhudi hizo za amani , pande zote mbili zilishambuliana usiku kucha kufuatia shambulizi la Marekani kwa vituo vitatu vya Nyuklia Iran. Licha ya misukosuko inayoshuhudiwa kuhusu kusitishwa kwa mapigano, lakini makubaliano haya yatadumu? Jiunge na Hamida Abubakar @midababirye mwendo wa saa tatu usiku kwenye dira ya dunia tv na pia tufwatilie mubashara kwenye mtandao wa youtube wa bbcswahili. - - #bbcswahili #iran #israel #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw