- 11,557 viewsDuration: 1:09Hilo ndilo lililomtokea kwa gavana mmoja nchini Uturuki, ambaye ameondolewa madarakani baada ya kuonekana akiwa amevaa nguo za kubana za waendesha baiskeli. Hata hivyo, uamuzi huo umeibua mjadala mkali. Mwandishi wa BBC @beldeen__waliaula anafafanua zaidi. - - #bbcswahili #mavazi #uturuki #uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw