Skip to main content
Skip to main content

Je, mkataba ulioafikiwa wa Iran na Marekani utadumu? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    21,701 views
    Duration: 28:10
    Marekani imesema itasitisha kwa muda wa siku 60 vikwazo vya uzalishaji na uuzaji wa mafuta ya Iran katika kile kinachoonekana kuwa matokeo ya kwanza kutoka kwa duru ya kwanza ya mazungumzo ya amani nchini Uswizi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw