Je mkataba wa amani utafaulu DRC? katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    11,546 views
    Mashirika mawili makuu ya kidini nchini DRC, Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki (Cenco) na Kanisa la Kristo Congo (ECC) yameunga mkono mpango mpya uitwao mkataba wa kijamii kwa ajili ya amani na Maendeleo ya pamoja katika DRC na Ukanda wa Maziwa Makuu. Mpango huu unalenga kuhimiza amani na kuimarisha mshikamano wa kijamii, hasa mashariki mwa Congo.