Je, mtoto wa kwanza kuzaliwa ni mwelewa?

  • | BBC Swahili
    208 views
    Je, ni kweli kwamba mtoto wa kwanza kuzaliwa huwa mwelewa zaidi na wa mwisho ni mbishi? @bosha_nyanje anaelezea kwa kina ukweli wa jambo hili #bbcswahili #familia #urithi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw