Skip to main content
Skip to main content

Je nchi gani ina bajeti kubwa zaidi Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    21,978 views
    Duration: 1:56
    Alhamisi ya Juni 11 ilikuwa siku ya kutangazwa kwa bajeti za mwaka wa fedha wa 2026/2027 ya mataifa ya Afrika Mashariki lakini kama hukuelewa vizuri @mrs.tadicha anatudadavulia bajeti gani ilikuwa kubwa zaidi Afrika Mashariki na iliweka msisitizo kwenye sekta gani? #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw