Je ni kwanini fluoride inapigwa marufuku?

  • | BBC Swahili
    6,787 views
    Licha ya madai kuwa fluoride kuwekwa katika maji ya kunywa ni salama katika nchi zaidi ya 20 duniani kote na ni nzuri kwa afya ya meno, jimbo la Utah nchini Marekani limepiga marufuku matumizi ya Fluoride. Je ni kwanini inapigwa marufuku? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #afya #flouride Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw