Je, nini Super Tuesday?

  • | VOA Swahili
    31 views
    Majimbo mengi zaidi yatafanya uchaguzi wa awali Jumanne, Machi 5, kuliko siku yoyote nyingine katika kipindi cha uchaguzi huu. Ndio maana inaitwa Super Tuesday. Majimbo kumi na tano na mkoa mmoja utapiga kura siku ya Super Tuesday mwaka huu. Huko Iowa, matokeo ya uchaguzi wa awali wa Wademokratiki utatangazwa. #supertuesday #uchaguzimkuu #marekani #majimbo #iowa #uchaguziwaawali #voa #voaswahili