Je, nini Super Tuesday?

  • | VOA Swahili
    27 views
    Majimbo mengi zaidi yatafanya uchaguzi wa awali Jumanne, Machi 5, kuliko siku yoyote nyingine katika kipindi cha uchaguzi huu. Ndio maana inaitwa Super Tuesday.