Je Pafu la chuma ni nini na linafanyaje kazi?

  • | BBC Swahili
    693 views
    Hivi karibuni mwahirika wa polio anayejulikana kama "mtu mwenye pafu la chuma" alifariki akiwa na umri wa miaka 78. Paul Alexander kutoka Texas Marekani aliishi ndani ya mashine inayojulikana kama pafu la chuma kwa miongo saba baada ya kuugua polio alipokuwa na umri wa miaka sita. - Mashine hiyo iliokoa maelfu ya watu kama yeye hadi chanjo ya ugonjwa huo ilipoanza kutolewa. #bbcswahili #marekani #polio Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw