Je, Putin ana mpango wa kumshawishi Trump kumtimua Zelensky?

  • | BBC Swahili
    1,712 views
    Leo Ijumaa ya Agosti 15 macho na masikio mengi ya jumuiya ya kimataifa yatakuwa yameelekezwa jimboni Alaska, nchini Marekani ambapo Rais Donald Trump na Rais Vladimir Putin watakuwa na mkutano juu ya vita kati ya Urusi na Ukraine. Wengi watakuwa wanasikiliza nini yatakuwa matokeo ya mkutano huo. Je Trump ataweza kusuluhisha mgogoro huu wa Ukraine na Urusi? @sammyawami anaelezea kwa kina #bbcswahili #marekani #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw