- 5,957 viewsDuration: 3:12Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ana imani kubwa na tume huru ya Uchunguzi iliyoundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, akisema ina uwezo wa kutoa majibu sahihi yatakayolisaidia taifa kusonga mbele. Vyama vya CHADEMA na ACT-Wazalendo vimepinga uteuzi wa tume hiyo vikidai si huru. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw