- 10,886 viewsDuration: 1:29Mshambuliaji wa Tanzania Clara Luvanga amejiunga na klabu ya Washington Spirit akitokea Al-Nassr katika kiwango kinachoaminika kuwa miongoni mwa uhamisho wenye gharama kubwa zaidi katika historia ya soka la wanawake na huenda hata ikavunja rekodi ya dunia. @bosha_nyanje anaelezea zaidi #bbcswahili #tanzania #claraluvanga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw