Je unadhani kuna umuhimu watoto wadogo kufanyiwa sherehe kubwa?

  • | BBC Swahili
    1,904 views
    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na utamaduni wa kuwafanyia watoto hata wa mwaka mmoja au kutimiza siku 40 sherehe za gharama kubwa na mara nyingi uhusisha watu wazima! Je unadhani watoto watoto wanapata kile wanachohitaji katika sherehe hizi? Na wanafurahia? Elizabeth Kazibure anaelezea #bbcswahili #tanzania #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw