Je, unafahamu wapi utafanya biashara ukiwa Kivu

  • | VOA Swahili
    457 views
    Mji wa kibiashara wa Kituku ni sehemu ya soko kubwa la bidhaa mbalimbali. Kadhalika kuna shughuli za usafirishaji, ndiyo sababu utawakuta watu wengi wenye biashara ya usafiri wa pikipiki wakisubiri wateja na kuwapeleka katikati ya Mji ambako sasa biashara mbalimbali huuzwa barabarani ama kwenye baadhi ya maduka. Mwandishi wa VOA Austere Malivika aliyetembelea eneo hilo ameripoti kuwa wafanyabiashara wa huduma ya piki hali yao ya maisha kutokana na vita mashariki ya Congo hasa hivi vya M23 ambavyo vimeathiri shughuli zote ni mbaya. Mjini Goma na Kote Kivu kaskazini kutokana na vijiji vingi kuchukuliwa na waasi imepelekea wakulima kuhama makaazi yao na kuwa wakimbizi katika mji wa Goma. #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili