Je, unafikiria kuanzisha biashara?

  • | BBC Swahili
    358 views
    Kwa baadhi ya wajasiriamali, aina za biashara za kuanzisha ni dhahiri. Kwa wengine, jibu halipatikani kwa urahisi. Kujua ni aina gani ya biashara ya kuanza ni uamuzi mzito. Kwa hivyo unapaswa kujiuliza nini unapoamua ni biashara gani uanzishe? #bbcswahili #biashara #ujasiriamali