Skip to main content
Skip to main content

Je, unajua kuna sayari ngapi katika mfumo wa Jua?

  • | BBC Swahili
    5,216 views
    Duration: 1:22
    Unaweza kufikiri ni nane, lakini baadhi ya wanaanga wanashuku kuwa kuna sayari ya ziada ,kubwa zaidi kuliko Pluto ambayo imejificha sehemu katika anga ya mbali. Na wanasema huenda ipo karibu kugunduliwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw