- 19,529 viewsDuration: 1:29Kevin na Austin wamepata kazi ambayo mashabiki wengi wa soka huota. Wanalipwa dola 50,000 kutazama mechi zote 104 za Kombe la Dunia na kutengeneza maudhui kwa ajili ya mashabiki. Lakini kazi hiyo inahusisha nini, na waliipataje? @viktor_kenani anasimulia kisa hili: - - #bbcswahili #kombeladunia2026 #mashabiki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw