Skip to main content
Skip to main content

Je uongozi wa Samia umehamasisha wanawake kuwania nafasi za umma?

  • | BBC Swahili
    1,015 views
    Duration: 3:09
    Je, unajua kuwa mihimili miwili kati ya mitatu ya serikali ya Tanzania inaongozwa na wanawake? Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiini cha mabadiliko haya. Lakini je, uongozi wa Rais Samia umehamasisha wanawake zaidi kuwania nafasi za umma? - - #bbcswahili #tanzania #uchaguzimkuu2025 #samia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw