Je ushawahi kuona Kwaya ya wasio jua kuimba?

  • | BBC Swahili
    599 views
    'Imba kama vile hakuna anayekusikiliza' - Hilo ndilo wazo lililosababisha kubuniwa kwa kwaya ya Zest kusini mwa Uingereza, Kwaya inayowakaribisha watu wanaodhani hawajui kuimba. Taarifa ya Georgia stone ainawasilishwa na Agnes Penda @AgnesPenda #bbcswahili #uingereza #burudani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw