Skip to main content
Skip to main content

Je wanaume wanaugua saratani ya matiti?

  • | BBC Swahili
    8,806 views
    Duration: 2:15
    Saratani ya matiti kwa wanaume bado haieleweki vizuri katika jamii nyingi barani Afrika. Watu wengi huamini kuwa ni ugonjwa unaowapata wanawake pekee, hali inayochangia unyanyapaa, aibu, na kuchelewa kwa uchunguzi na matibabu kwa wanaume wanaoupata. Ramadhan Musa kutoka Dar es Salaam, Tanzania, amemsimulia @martha_saranga uzoefu wake, baada ya kugundulika na ugonjwa wa saratani ya matiti, safari ya matibabu na hadi kupona. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #afya #sarataniwanaume Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw