- 1,259 viewsDuration: 2:29Kwa Jeremiah Mwaura mwenye umri wa miaka 46, safari ya kawaida ya kwenda jijini Nakuru kununua vifaa vyake vya kazi ya useremala iligeuka kuwa masaibu yaliyobadilisha maisha yake. Mwaura alijipata katikati ya vurugu wakati wa maandamano ya Juni 18, mwaka 2026 ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya