- 25,509 viewsDuration: 56sMkurugenzi wa Utetezi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa hukumu ya kesi ya uhaini iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania ina maana kwamba kisheria shauri la uchochezi linalomkabili Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu limefutika. Shauri hilo lilitarajiwa kusikilizwa Novemba 19. Massawe ameyasema hayo wakati wa uchambuzi wa mwenendo wa kesi ya Lissu uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw