- 20,943 viewsDuration: 1:31Jeshi la polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika nchi nzima Desemba 9, 2025. Msemaji wa Polisi David Misime, amesema waandamanaji hao hawajatuma barua yeyote kwa jeshi la polisi kuomba kibali hadi leo hii na hawana anuani maalumu, hivyo jeshi la polisi halina budi kupiga marufuku 'maandamano hayo yanayotajwa kuwa ya amani' - - #bbcswahili #polisi #maandamano #amani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw