- 9,551 viewsDuration: 1:29Je Jezi imekuvutia zaidi Kombe la Dunia 2026? Kombe la Dunia 2026 linaanza, imesalia saa chache tu. Lakini kabla hata ya kipenga cha kwanza kupulizwa, mjadala mwingine tayari umechukua nafasi kubwa mtandaoni, kuhusu jezi zitakazotumika na mataifa mbalimbali. Kutoka Ulaya hadi Afrika Jezi gani imekuvutia? @_phillys anaelezewa #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw