- 647 viewsDuration: 1:22Kinara wa chama cha Safina Jimmy Wanjigi amekemea vikali hatua ya Rais William Ruto kutoa amri ya kufungwa kwa biashara za raia wa kigeni akidai kuwa hatua hiyo ni ya kuzidhalilisha nchi jirani haswa za Afrika Mashariki. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya