Jinamizi la Ajali I Watu 13 waangamia Pangala, barabara ya Londiani

  • | KBC Video
    286 views

    Yamkini watu 13 wamefariki na wengine watatu kupata majeraha mabaya kufuatia ajali mbaya iliyohusisha matatu na trela katika sehemu ya Pangala eneo la Kisumu Ndogo kando ya barabara ya Londiani-Muhoroni leo alasiri. Miili ya marehemu imepelekwa katika makafani ya hospitali ya misheni ya St. Vincent huko Muhoroni, ikisubiri kutambuliwa na familia zao huku maafisa wakimtafuta dereva wa trela ambaye alitoroka eneo hilo muda mfupi baada ya ajali hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive