Jinsi Lamu Fort imehifadhi historia ya jamii ya wakenya kwa zaidi ya miaka 200

  • | Citizen TV
    302 views

    Eneo la Lamu Fort ni ngome iliyo na zaidi ya miaka 200 ambayo imehifadhi kumbukumbu na historia nyingi za mji wa Kisiwa cha Amu. Ni ngome iliyowahifadhi baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau Kutoka sehemu nyingine za nchi wakati wa ukoloni ambayo miaka ya jadi ilitumika kama gereza.