- 4,616 viewsDuration: 10:20Taiwan ni kisiwa cha watu milioni 23 chenye serikali yake, lakini sehemu kubwa ya dunia haiitambui kama nchi huru. Kwa miongo kadhaa Taiwan imejikuta ipo katikati ya China ambaye ni jirani yake na Marekani, mshirika wake muhimu zaidi wa usalama. Hapa tunaelezea jinsi Taiwan ilivyojikuta katika nafasi hii ya kipekee, kwa nini Beijing na Washington zote zinaona kisiwa hicho kama muhimu kimkakati, na kwa nini hali yake ya kisiasa haijapata suluhisho kwa muda mrefu. #bbcswahili #traiwan #china 00:00-00:34 Je, Taiwan ni nchi huru? 00:34-00:59 Donald Trump dhidi ya Taiwan 00:59-02:07 Historia ya Taiwan: Japan na vita vya wenyewe kwa wenyewe vya China 02:07-03:07 Jinsi Vita vya Korea vilivyobadilisha hatima ya Taiwan 03:07-05:00 Jinsi Marekani ilivyobadilisha msimamo kuhusu Taiwan na China 05:00-05:54 Mkakati wa Marekani kuhusu Taiwan 05:54-06:50 Msimamo wa Xi Jinping dhidi ya Taiwan na je, China itaivamia? 06:50-07:12 Mlolongo wa Kisiwa cha Kwanza 07:12-08:10 Taiwan na utengenezaji wa microchips duniani 08:10-08:58 Watu wa Taiwan wana maoni gani? 08:58-09:37 Uhusiano kati ya Taiwan, China na Marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw