Jinsi TB Joshua alivyoficha ukweli kuhusu kuporomoka kwa jengo

  • | BBC Swahili
    6,405 views
    BBC imebaini ushahidi mpya kuhusu aliyekuwa kiongozi wa kanisa kubwa nchini Nigeria ,TB Joshua kuwa alificha maiti na kuzitisha familia baada ya kuporomoka kwa jengo ambalo liliua watu wapatao 116 katika kanisa lake mwaka 2014. Kuporomoka kwa jengo hilo ni miongoni mwa maafa mabaya zaidi kuwahi kutokea katika sehemu za Ibada barani Afrika. Kwa mara ya kwanza wafuasi wa ndani wa kanisa la TB Joshua la Synagogue Church of All Nations (Scoan) mjini Lagos wanatoa ushahidi wa kilichosababisha ajali hiyo iliyotokea karibu miaka kumi iliyopita, na jinsi mchungaji huyo anavyoshutumiwa "kuficha ukweli wa ajali." Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw