25 Oct 2025 7:48 pm | Citizen TV 577 views Duration: 1:25 Msafara wa Jipange na Viusasa umeingia siku ya nne na ya mwisho katika kaunti ya Meru hii leo ambapo msafara huo umeteka miji mbalimbali kutoka soko la matunguu hadi Nkubu, na Timau hadi Isiolo.