Jopo la Uhifadhi wa Ardhi lakutana kujadili uboreshaji wa utalii katika Kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    305 views

    Jopo la kushughulikia masuala ya uhifadhi wa ardhi Kaunti ya Kajiado limekutana kujadili jinsi ya kuboresha utalii Kaunti ya kajiado. Jopo hilo limeundwa Na gavana Joseph Ole Lenku baada ya agizo la rais William Ruto kwa Kaunti zenye matarajio makubwa ya utalii kulainisha na kulinda maeneo ya uhifadhi.