Skip to main content
Skip to main content

Joto kali Ulaya

  • | BBC Swahili
    25,152 views
    Duration: 21s
    Ulaya imeendelea kukumbwa na wimbi kali la joto, huku rekodi mpya za viwango vya juu vya halijoto vikiendelea kuvunjwa katika maeneo mbalimbali ya bara hilo mwishoni mwa wiki. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw