Juhudi za kutoa mafunzo kwa vijana katika kaunti ya Isiolo zapongezwa

  • | Citizen TV
    152 views

    Vijana katika Kaunti ya Isiolo ni Miongoni mwa wanaonufaika na Mafunzo ya Kiufundi almaarufu ujuzi Manyatani. masomo hayo hufikishwa kwa vijana majumbani mwao na kuwawezesha kuwacha kushiriki wizi wa mifugo.